Tafuta
Hifadhi
Arifa
Soko
Akaunti
Terms of ServicePrivacy PolicyData DeletionContact Us

© 2026 NyumbaFasta Tanzania · All rights reserved

NyumbaFasta
IngiaJisajili Bure
Jukwaa la Matangazo — Tanzania

Weka Biashara Yako Mbele ya
Wateja Sahihi

Tangaza biashara yako kwenye NyumbaFasta — jukwaa kubwa la nyumba na huduma Tanzania. Wateja wanakutafuta. Wataki wakuone.

Anza Bure — Dakika 2 tuNina Akaunti → Ingia
10,000+
Watumizi kila mwezi
31
Mikoa Tanzania
24h
Ukaguzi wa haraka

Jinsi Inavyofanya Kazi

1

Jiandikishe Bure

Jaza taarifa za biashara yako. Hakuna ada ya kuanza.

2

Chagua Mpango

Chagua aina ya tangazo na mpango unaofaa bajeti yako.

3

Anza Kuonekana

Baada ya ukaguzi wa admin, lipa na tangazo lako linaanza mara moja.

Mipango ya Matangazo

Chagua aina ya tangazo inayofaa biashara yako

Banner Ad

Picha kubwa ya tangazo juu ya ukurasa wa nyumbani — maelfu wanakuona.

Banner — Wiki 1

Tangazo kubwa juu ya ukurasa wa nyumba kwa wiki moja.

  • Nafasi #1 juu ya Home Feed
  • Inayoonekana na wageni wote
  • Picha kubwa inayovutia
TZS 49,999
kwa siku 7
Chagua →

Banner — Mwezi 1

Tangazo kubwa juu ya ukurasa wa nyumba kwa mwezi mzima.

  • Nafasi #1 juu ya Home Feed
  • Inayoonekana na wageni wote
  • Picha kubwa inayovutia
  • Thamani kubwa kwa bei nafuu
TZS 150,000
kwa siku 30
Chagua →

Search Ads

Wateja wanaotafuta wanakuona kwanza kabla ya wengine.

Search Ad — Wiki 1

Tangazo lako linaonekana kwenye matokeo ya utafutaji kwa wiki moja.

  • Inakaa juu ya matokeo ya utafutaji
  • Lebo Iliyodhaminiwa
  • Inafika wateja wanaotafuta
TZS 35,000
kwa siku 7
Chagua →

Search Ad — Mwezi 1

Tangazo lako linaonekana kwenye matokeo ya utafutaji kwa mwezi mzima.

  • Inakaa juu ya matokeo ya utafutaji
  • Lebo Iliyodhaminiwa
  • Inafika wateja wanaotafuta
TZS 100,000
kwa siku 30
Chagua →

Nearby Ads

Fikia wateja wanaotazama nyumba karibu na eneo lako — mara wanapoitazama.

Nearby Ad — Wiki 1

Fikia wateja wanaotazama nyumba karibu na eneo lako.

  • Inaonekana ndani ya ukurasa wa listing
  • Inafika wateja wenye nia ya kukaa
TZS 25,000
kwa siku 7
Chagua →

Nearby Ad — Mwezi 1

Fikia wateja wanaotazama nyumba karibu na eneo lako kwa mwezi.

  • Inaonekana ndani ya ukurasa wa listing
  • Inafika wateja wenye nia ya kukaa
TZS 70,000
kwa siku 30
Chagua →

Video Ads

Video ya biashara yako inaonyeshwa kwa wateja — imani na uharisi zaidi.

Video Ad — Wiki 1

Onyesha video ya biashara yako ndani ya feed ya nyumba.

  • Video yako ndani ya feed ya nyumba
  • Inaonekana baada ya listings 6–8
  • Athari kubwa ya uangalizi
TZS 45,000
kwa siku 7
Chagua →

Video Ad — Mwezi 1

Onyesha video ya biashara yako ndani ya feed ya nyumba kwa mwezi mzima.

  • Video yako ndani ya feed ya nyumba
  • Inaonekana baada ya listings 6–8
  • Athari kubwa ya uangalizi
TZS 120,000
kwa siku 30
Chagua →

Featured Business

Biashara yako inaonekana mara ya kwanza kwenye ukurasa wa mkoa wako.

Featured Business — Mwezi 1

Orodhesha biashara yako kwenye directory ya mji wako kwa mwezi mmoja.

  • Unakuwa kwenye directory ya mji wako
  • Inaonekana na watu wa eneo lako
  • Picha, maelezo, na kitufe cha WhatsApp
TZS 80,000
kwa siku 30
Chagua →

Featured Business — Miezi 3

Orodhesha biashara yako kwenye directory ya mji wako kwa miezi mitatu.

  • Unakuwa kwenye directory ya mji wako
  • Inaonekana na watu wa eneo lako
  • Picha, maelezo, na kitufe cha WhatsApp
  • Akiba ya 17%
TZS 200,000
kwa siku 90
Chagua →

Bundle

Mchanganyiko wa aina nyingi za matangazo kwa bei moja nzuri.

Basic bundle

tangazo lako litakua listed kwenye soko/sehemu ya huduma pia litafanya kazi kwenye nearby search pindi watu wanapo tafuta nyumba za kupanga

TZS 70,000
kwa siku 30
Chagua →

Kwa Nini NyumbaFasta Ads?

Wateja Halisi

Watumizi wetu wanatafuta nyumba na huduma — hawapotezi muda.

Lipa kwa Simu

M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa. Rahisi, salama, haraka.

Takwimu za Wakati Halisi

Angalia views, clicks, na wasiliano wapya kila wakati.

Anza Leo — Bila Gharama

Jiandikishe bure na anza kuweka tangazo lako ndani ya dakika 5.

Anza Bure Sasa

Tayari una akaunti? Ingia hapa