Data Deletion Request
NyumbaFasta inakuheshimu na faragha yako. Una haki ya kuomba tufute data yako yote kutoka kwenye mfumo wetu wakati wowote.
You have the right to request deletion of all your personal data from our systems at any time.
What data we collect
Jina lako na mawasiliano (barua pepe, namba ya simu)
Your name and contact information (email, phone number)
Historia ya mazungumzo na Amina (AI assistant)
Conversation history with Amina (AI assistant)
Maelezo ya nyumba ulizotafuta na kuhifadhi
Property search and saved listing history
Taarifa za malipo (bila namba za kadi — siyo tunazihifadhi)
Payment information (no card numbers stored)
Picha ya profile uliyopakia
Profile photo you uploaded
How to request data deletion
Tuma barua pepe / Send an email
support@nyumbafasta.coAndika subject / Use this subject
Ombi la Kufuta Data / Data Deletion Request
Weka maelezo / Include in your message
Tungojea ombi lako / We process within
Siku 30 / 30 days
Deletion process & confirmation
Tutakuthibitishia kupokea ombi lako
We confirm receipt of your request
Data yako inafutwa kutoka kwenye mifumo yote
Your data is deleted from all our systems
Utapata barua pepe ya uthibitisho wa kufutwa
You receive a final deletion confirmation email
Kumbuka: Kufuta akaunti yako kutafuta data yote ya kibinafsi. Taarifa za malipo zinaweza kuhifadhiwa kwa miezi 7 kwa madhumuni ya kisheria na kodi.
Note: Deletion removes all personal data. Payment records may be retained for 7 months for legal and tax purposes.
Imesasishwa: Juni 2026 · NyumbaFasta Tanzania